Bendi ya Dar Modern Taarab imefanikiwa kuondoka alfajili ya leo kuelekea katika tamasha la COAST NIGHT jijini Nairobi kenya. Dar modern ni bendi bora inayokuja kwa kasi sana kwa sasa.

Akimalizia Mr Emanuel aliziomba bendi za taarab za tanzania kujitangaza kimataifa zaidi na sio kubaki kujitangaza nchini tanzania tu!, zipo safari nyingi sana za nje kwa bendi za tanzania lakini tatizo linakuja viongozi wa bendi nyingi hawaangalii mbele zaidi, vile vile wasanii wanatakiwa kuwa na pass za kusafilia ili kuondoa tatizo la kuhangaika na kuomba vibali vya muda.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni