
Akizungumza na dawati la UBUYU WA TAARAB, malkia huyo alisema kwamba amekuwa akipokea simu nyingi sana toka kwa wapenzi wake wakitaka video ya wimbo huo ambao unafanya vizuri kwa sasa ktk vituo mbalimbali vya redio afrika mashariki na kati.
Location ya wimbo wangu huu nataka nikachukulie sehemu tofauti na mlizozizoea, nitabadilika kama ambavyo nilifanya katika FULL STOP alimaliza kwa kusema.UBUYU WA TAARAB tunasema siku zote juhudi huzaa maendeleo, piga kazi mama...wanaobwata waache wabwate!!.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni