Msanii wa bendi ya coast modern taarab said mitutu siku ya jumapili alifunga ndoa na zainab juma maeneo ya mtoni jijini dar es salaam na kufuatiwa n sherehe kubwa ya kukata na shoka iliyofanyika katika ukumbi wa ikweta grill siku ya jumatatu, zifuatazo ni baadhi ya picha zilizopatikana katika sherehe hiyo!.
![]() |
SAID MITUTU AKIWA NA MKEWE ZAINAB JUMA |
![]() |
SAID MITUTU NA MKEWE WAKIJIANDAA KUKATA KEKI. |
![]() |
KEKI MFANO WA GITA IKIWEKWA MEZANI KWA HESHIMA ZOTE. |
![]() |
SAID MITUTU NA MKEWE ZAINAB JUMA WAKICHEZA MUZIKI WA TAARAB. |
![]() |
SAID MITUTU NA MKEWE ZAINAB JUMA WAKIMSIKILIZA MC WA SHUGHULI. |
![]() |
ZAINAB JUMA NA MUMEWE SAID MITUTU WAKIITAZAMA KEKI KWA FURAHA KUBWA. |
![]() |
SAIDI MITUTU NA MKEWE WAKIWA NA WATU WAO WA KARIBU. |
![]() |
BINTI WA SAID MITUTU MWANA-ASHA AKIFURAHIA NDOA YA BABA YAKE. |
![]() |
MC WA SHUGHULLI MKUBWA DAWA AKIELEKEZA MAHARUSI NINI CHA KUFANYA. |
![]() |
ZAINAB JUMA NA MUMEWE SAID MITUTU WAKIKUMBATIANA KWA FURAHA KUBWA. |
![]() |
ILIKUWA NI FURAHA KUBWA KWA WANANDOA HAWA SIKU YA JANA. |
![]() |
SAID MITUTU NA MKEWE ZAINAB JUMA WAKIWA KATIKA RED CAPET. |
![]() |
ALLY J AKIFUNGUA SHAMPENI KWA MADAHA NA MBWEMBWE NYINGI. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni