Bendi ya gusagusa min bendi yenye maskani yake magomeni jijini dar, inatarajia kufanya sherehe kubwa ya kuzaliwa kwa bendi hiyo siku ya jumamosi tarehe 5/12/2015 katika ukumbi wa lango la jiji jijini dar.
![]() |
HASSAN FAROUK-MKURUGENZI WA GUSAGUSA MIN BENDI. |
Akizungumza na mtandao huu mkurugenzi wa bendi hiyo Hassan farouk alisema kuwa siku hiyo watakuwa na wenzao wa babloom sambamba na wasanii kadhaa waalikwa bila kusahau wale wote waliowahi kuitumikia bendi hiyo kwa nyakati tofauti, mambo mengi sana tumeyaanda sisi kama gusagusa na hii yote ni katika kuwapa burudani tofauti na walivyozoea mashabiki zetu.
![]() |
BI AFUA SULEIMAN-MUIMBAJI WA GUSAGUSA MIN BENDI. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni