Bendi yako ya Gusagusa Min Bendi, katika kusherehekea sikukuu ya christmas, wanatarajia kushusha burudani ya nguvu katika ukumbi wa ikweta grill mtoni kwa Azizi Ally jijini Dar, Akizungumza na mtandao huu makini mkurugenzi wa bendi hiyo Mr Hassan Farouk alisema maandalizi ya show hiyo yamesha kamilika na vijana wana khali kubwa ya kuwaonyesha wakazi wa mtoni ni nini Gusagusa wanafanya.
![]() |
WAIMBAJI WA GUSAGUSA MIN BENDI WAKIWA KATIKA POZI. |
![]() |
VIONGOZI NA WASANII WA GUSAGUSA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA. |
ya christmas pale ikweta grill, wadau na wapenzi mnaombwa kujitokeza kwa wingi kuja kupata raha za Gusagusa Min Bend.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni