Mfalme Mzee Yusuph amesema kwamba wimbo wa "Mahaba Niue" ambao tayari umesharekodiwa na upo katika hatua za mwisho za mixing kwa Director bora kwa sasa nchini tanzania hususani katika muziki wa taarab Enrico na studio yake ya soundcrafters, utakuwa ndio wimbo wake wa mwisho kabisa kuurekodi.
![]() |
MZEE YUSUPH AKIFANYA YAKE STEJI. |
Mzee Yusuph aliyasema haya wakati alipokuwa akifanya mahojiano na Mwanne Othman "Toto la Matashititi" ndani ya kipindi cha Tamtam za Mwambao East Africa redio siku ya jumapili tarehe 14/12/2014.ubuyuwataarabutz.blogspot.com Tunasema kila la heri Mfalme.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni