TANGAZA NASI

Breaking

Jumapili, 14 Desemba 2014

PATA PICHA ZA MITIKISIKO YA PWANI 2014 KWA HISANI YA MTANDAO WA SALUTE 5.COM!.

NA KAIS MUSSA KAIS

        Tamasha la mitikisiko ya pwani mwaka huu liliendelea kuboreshwa na kufanya wapenzi kuomba japo liwe linafanyika mara mbili kwa mwaka, Bendi zilizoshiriki mwaka huu ni:-

                 1.Jahazi Modern Taarab
                 2.Mashauzi Modern Taradance
                 3.East African Melody
                 4.Dar Modern Taarab
                 5.Ogopa Kopa Classic Bendi
                 6.Wakaliwao Modern Taradance "ambao hawakupanda steji kabisa!".
                 7.Msagasumu kabali yao."Mzee wa radha na kisingeli original".

Zifuatazo ni baadhi ya picha zilizopigwa katika Tamasha hilo mwaka huu 2014 katika ukumbi wa Dar Live mbagala, Picha zote kwa Hisani ya mtandao wa salute5.com.

MWANAIDI SHABBAN WA EAST AFRICAN MELODY AKIFANYA YAKE.
YOUNG HASSAN ALLY AKIWAJIBIKA STEJINI.
ISHA RAMADHAN MASHAUZI AKIWAPAGAWISHA WAPENZI.
MSAGASUMU KABALIYAO ALITISHA SANAAA!.
FATUMA NYORO WA JAHAZI AKIWA NA MAMAA KHADIJA KOPA.
NAIMA MASHAUZI AKIIMBA SAMBAMBA NA WAPENZI.
MOSI SULEIMAN WA DAR MODERN ALISUMBUA SANAAA!.
MALKIA WA MIPASHO NCHINI KHADIJA KOPA AKIIMBA.
MFALME MZEE YUSUPH ALIDHIHIRISHA KWAMBA HANA MPINZANI.
BI MWANAHAWA ALLY KWA RAHA ZAKE TARATIIIIBU!.
HASSAN VOCHA PAMOJA NA KUUMWA GHAFLA LAKINI ALISUMBUA NA STYLE YAKE YA NINJA.
KHADIJA YUSUPH KIPENZI CHA WENGI, ALING'ARA SANA DAR LIVE.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni