Muite Said Ndagendage, mpiga kinanda maarufu hapa Dar hususani katika tasnia hii ya taarab, kwa sasa yupo ndani ya bendi ya wakaliwao modern taradance chini ya mkurugenzi T habit Abdul. Ubuyu wa taarabu ulipenda kujua ni kwanini yupo kimya? wadau na mashabiki wamekuwa wakipiga simu ndani ya chumba chetu cha habari ili kujua kulikoni?.

Ndagendage ni mpigaji wa kinanda ambae anakubalika sana na amefanya kazi na bendi nyingi za taarab ikiwemo mashauzi classic, zanzibar stars, kings pamoja na supershine modern taarab.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni