TANGAZA NASI

Breaking

Ijumaa, 31 Oktoba 2014

STYLE HII YA UCHEZAJI, JE VIONGOZI WA WIZARA HUSIKA, BASATA HAMUONI?.

NA KAIS MUSSA KAIS

      Tamaduni za mtanzania na mila za makabila mbalimbali hapa nchini mwetu vimekuwa vikipotea kama si kukosa muelekeo kabisa!, ngoma za makabila zilikuwa ndio vishereheshaji katika hafla mbalimbali pindi viongozi wanapokuwa wanaingia au kuhutubia wananchi!.

Kipindi cha hapa kati kumeibuka hii style ya uchezaji ambayo wahusika wameipachika jina Kanga Moko au almaarufu Kitu Tigo!, wanapokuwa wanacheza hawa madada kama wewe muungwana mwenzangu upo na mkweo hapo eneo husika basi unaweza kuondoka hata bila kuaga!.

HII NI HATARI

HAPA SIELEWI KABISA
     Ni udhalilishaji wa wazi wazi kabisa!, na sehemu wanazochezea hiyo style yao ni katika jamii inayotuzunguka, lakini ajabu wahusika wapo kimya, hivi hamlioni hili?, kizazi kijacho kitajifunza nini toka kwetu? Serikali na hususani wizara husika hebu tatueni hili tatizo imekuwa ni janga sasa kiukweli.

MMMMH!!

AISEEEH!

          

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni