NA KAIS MUSSA KAIS.
Katika kuendeleza yale maboresho ambayo nimekuwa nikiyabuni kila kukicha kwa ajili yenu wasomaji wangu, nimeamua kuwawekea kipengele cha kuwahoji wasanii mbalimbali kwa maswali ya kizushi, ya kujenga na yenye future kwa upande wa sanaa yake ya baadae!.
|
LOGAL YA SAGMENT HII. |
Kipengele hicho nimekipa jina liitwalo "Sindano tano za ubuyu", ambacho kitakuwa hewani kila siku ya Jumatano ya wiki ijayo na jumatano zote zitakazofuata, hapa msanii atatakiwa kujibu maswali matano tu toka kwangu na dawati zima la mtandao huu kwa ujumla, na hii ni kwa faida yake mwenyewe na mashabiki wake wanaomzunguka. Bado nahitaji kufanya mambo makubwa zaidi katika habari hususani kwenye kuutangaza muziki huu wa taarab kimataifa zaidi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni