NA KAIS MUSSA KAIS.
Tokea taarifa za kufariki kwa aliekuwa mbunge wa mbinga magharibi marehemu kapten John Komba, viongozi mbalimbali wamekuwa wakifika nyumbani kwa marehemu na kutoa pole huku wakisaini kitabu cha maombelezo. Zifuatazo ni baadhi ya picha za viongozi mbalimbali wakitoa pole kwa wafiwa na kusaini kitabu hicho.
Waziri
Mkuu Mstaafu,Mh Edward Lowasa akisaini kitabu cha maombolezo alipofika
nyumban kwa Marehem Capt. J komba kuwapa pole wanafamilia na ndg
Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Fredrick Sumaye akisaini kitabu cha maombolezo kwenye msiba wa Kapteni John Komba.
Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Fredrick Sumaye akimpa pole mke wa marehemu Kapteni John Komba.
Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Fredrick Sumaye akisalimiana na wasanii wa TOT wakati akiwasili msibani.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisaini kitabu cha maombelezo kwenye msiba wa Kapteni John Komba.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Anna Makinda akisaini kitabu cha maombelezo ya msiba wa Mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni John Komb
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni