TANGAZA NASI

Breaking

Jumanne, 15 Machi 2016

KONGAMOYO BENDI KULINDIMA NDANI YA UKUMBI WA LANGO LA JIJI MAGOMENI MIKUMI JUMATANO HII.

NA KAIS MUSSA KAIS.


          Bendi yako ya kongamoyo jumatano hii na kila jumatano inakuwa pale katika ukumbi wa burudani lango la jiji magomeni mikumi jijini dar es salaam.

          Akizungumza na mtandao huu mkurugenzi wa bendi hiyo Iqbar alisema kwamba wamejiandaa vya kutosha kuweza kushusha burudani ya haja na nzuri kwa wapenzi na mashabiki zake, tumefanya mazoezi ya kutosha sana katika nyimbo ambazo tulikuwa hatuzipigi lakini sasa tupo vizuri zaidi kwani kila wimbo uutakao utaupata bila wasiwasi wowote ule, njoo uwaone wasanii wakali kabisa kama Asya utamu, shinuna kassim, Thania msomali bila kumsahau muba!.


        Ikumbukwe kuwa kila jumatano bendi hii ya kongamoyo huwa inafanya show ndani ya ukumbi wa lango la jiji magomeni mikumi, wapenzi mnaombwa kufika kwa wingi kuja kupata burudani ya nguvu kabisa!.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni