NA KAIS MUSSA KAIS
Ule msemo wa wahenga usemao "mtoto wa nyoka ni nyoka" umejidhihirisha ktk familia ya Malkia wa taarabu nchini tanzania, Mama yetu kipenzi Khadija Omary Kopa kwa kijana wake MUDDY KOPA kufuata nyayo za mama yake na
kutoka na songi moja matata mno ktk taarabu liitwalo "FULL KUENJOY".
Wimbo huo ambao tayari umeshatoka hewani na unafanya vizuri ktk vituo mbalimbali vya redio nchini tanzania na hata jirani zetu kenya, umetungwa nae HEMEDY OMARY na kutiwa sauti na Malkia mwenyewe pamoja na mtunzi husika. Hii sio mara ya kwanza kwa watoto wa malkia huyu kujiingiza ktk fani ya uimbaji, tukumbuke alikuwepo marehemu
Omary Kopa ambae alikuwa muimbaji mzuri haijapata tokea, vile vile yupo mtoto wake wa kike aitwae Zuhura nae ni muimbaji mzuri tu lakini yupo kishule zaidi. Anaweza kuja kuimba hapo baadae kama ikibidi. Kubwa wadau wa taarabu tumpe sapoti BLACK KOPA ili aweze kutimiza ndoto zake ktk sanaa!. HUU NDIO UBUYU WA TAARABU BHANAAA! UMEJAA VIMTO NA UNA RADHA YA PEKEE!.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni