Mkurugenzi wa Wakaliwao Modern Taradance Thabit Abdul ukipenda muite mkombozi, amepatwa na msiba wa mjomba ake alfajili ya leo huko msanga mkoani pwani.

Ndugu jamaa na marafiki wanaoweza kuongozana na Thabit Abdul kuelekea msibani kuzika wanaweza kuwasiliana nae kwa namba zake za simu ya mkononi ambazo mnazifahamu. Sisi kama UBUYU WA TAARAB tunachukuwa nafasi hii kumpa pole Thabit Abdul kwa msiba huo, na tupo nae pamoja katika kipindi hiki kigumu kwake.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni