TANGAZA NASI

Breaking

Jumatano, 5 Novemba 2014

MUSSA MIPANGO WA JAHAZI APATWA NA MSIBA MZITO!.

NA KAIS MUSSA KAIS

MUSSA MIPANGO
                Yule mpiga gita la bess wa kutegemewa kabisa ndani ya bendi ya Jahazi Modern Taarabu, Mussa Mipango amefiwa na mdogo wake wa kiume aitwae Saidi Atua. Katika habari iliyoripotiwa hapa hapa inayomhusu Mussa kutoonekana katika show za za Jahazi, Mussa alisema hatoweza kulizungumzia jambo hilo kwa sasa kwa kuwa yupo hospitali mdogo wake ni mgonjwa sana, kwahiyo yule mdogo wake ndio amefariki katika hospitali ya temeke jijini Dar siku ya juzi.


            Mazishi yamefanyika jana maeneo ya temeke jijini Dar, Uongozi wa mtandao huu wa ubuyuwataarabutz.blogspot.com ukiongozwa na mkurugenzi mkuu Kais Mussa Kais unatoa pole kwa familia ya Mussa Mipango na tunasema tupo nae pamoja sana katika kipindi hiki kigumu kwake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni