KHADIJA OMARY KOPA MALKIA WA TAARAB NCHINI. |
HANIFA MAULID JIKE LA CHUI AKIWA NA MALIKIA WA TAARAB NCHINI KHADIJA OMARY KOPA. |
BLACK KOPA AKIWA STEJINI, AKIFANYA YAKE...HAPANA CHEZEA!. |
WAIMBAJI WA OGOPA KOPA KWA PAMOJA WAKIWA STEJINI WAKIWAJIBIKA. |
SHADYA SHOMBESHOMBE WA OGOPA KOPA AKIIMBA KWA HISIA KALI. |
AZIZA KI-MISS, MUIMBAJI WA OGOPA KOPA AKIIMBA MBELE YA MASHABIKI AMBAO HAWAONEKANI PICHANI. |
KHADIJA OMARY KOPA AKIDHIHIRISHA NI KWANINI ALISHINDA TUZO YA UNENGUAJI BORA STEJINI, HAPA AKICHEZA KWA RAHA ZAKE. |
MSAGASUMU MKALI WA RADHA AKIFANYA YAKE SAMBAMBA NA HANIFA MAULIDY JIKE LA CHUI. |
MSAGASUMU MKALI WA RADHA AKIIMBA STEJINI. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni