TANGAZA NASI

Breaking

Jumatano, 27 Mei 2015

TAZAMA PICHA 10 ZA HARUSI YA SENIOR BACHELOR MKURUGENZI WA BONGO STAR'S MODERN TAARAB.

NA KAIS MUSSA KAIS.

             Mkurugenzi wa Bongo star's modern taarab Senior Bachelor siku chache zilizopita aliuaga ukapela kwa kufunga ndoa na mchumba ake anaefahamika kama Leyla Mahmoud au kwa sasa anatambulika kama Leyla wa Senior!.


      Akizungumza na mtandao huu Senior alisema anamshukuru sana mwenyezimungu kwa kumuwezesha kutimiza lile lengo lake alilokuwa amelidhamilia nafsini mwake ijapokuwa vikwazo vya walimwengu vilikuwa vingi sana, zifuatazo ni baadhi tu ya picha zilizopigwa katika harusi hiyo

SENIOR BACHELOR AKIMBUSU MKEWE LEYLA MAHMOUD.
LEYLA MAHMOUD MKE WA SENIOR BACHELOR.
SENIOR AKIWA MWENYE FURAHA NA MKE WAKE.
LEYLA AMEPAKATWA NA MUMEWE SENIOR...MBONA RAHAAA!.
SENIOR AKITOKA NDANI NA MKEWE TAYARI KWA KUONDOKA.
ILIKUWA NI SIKU YA FURAHA KWA WAPENDANAO HAWA!.
HAPA SENIOR AKIMTOA NJE MKEWE...NI FURAHA TU!.
MASHALLAH!, MKE AKIWA MWENYE FURAHA NA BASHASHA TELE!.
BWANA HARUSI SENIOR AKIWA AMEPOZI.
HAPA WAPENDANAO WAKIFURAHIA YAO!.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni