TANGAZA NASI

Breaking

Ijumaa, 29 Mei 2015

Chegge Chigunda, Song:- "Mwananyamala" official video..Ninavyojisikia segment!.

NA KAIS MUSSA KAIS.

            Hii ni segment ya "Ninavyojisikia" yaani mimi mwenyewe mmiliki wa hii blog, hapa naweza kuzungumzia lolote lile iwe muziki au jambo lolote lile ambalo lipo tofauti na muziki wetu wa taarab naomba nieleweke wazi.leo tupo na video nzuri ya bongo fleva iitwayo "Mwananyamala", huu ni wimbo wa msanii chege chigunda au mtoto wa mama saidi kama wanavyomuita.


        Sababu ya kuiweka video hii ili muitazame wasomaji wangu ni kuwa imeshutiwa kiuswahilini zaidi na miondoko iliyotumika humo ni ya mnanda au mchiriku ambao ni muziki wenye asili ya pwani kama ilivyo taarab, komedi iliyopo humo ambayo imechezwa na muigizaji Nisher ni moto wa kuotea mbali hebu tuitazame kwa pamoja wapendwa wangu!.

CHEGGE CHIGUNDA "MTOTO WA MAMA SAIDI".

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni