TANGAZA NASI

Breaking

Jumamosi, 26 Septemba 2015

WAKALIWAO "TEAM MASAUTI" NDANI YA CENTER GRILL, ZAMANI FLAMINGO LEO JUMAMOSI IDD TATU...USIKOSE!.

NA KAIS MUSSA KAIS

             Baada ya jana kufanya makamuzi ya nguvu ndani ya ukumbi wa kapakabana mwananyamala A, bendi bora ya wakaliwao modern taradance "team masauti" leo inahamia katika ukumbi wa center grill zamani flamingo night club uliopo magomeni mwembe chai jijini dar kumalizia shamra shamra za sikukuu ya eid-el-hajj.


        Akizungumza na mtandao huu makini mkurugenzi wa bendi hiyo thabit abdul alisema kuwa anawaomba wapenzi wa bendi hiyo kujitokeza kwa wingi leo ili kumalizia uhondo wa raha na burudani kutoka kwa wakaliwao modern taradance kwani kuna surprise kibao toka kwa uongozi kwenda kwa wadau wao alimalizia.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni