TANGAZA NASI

Breaking

Jumanne, 17 Novemba 2015

HAPPY BIRTHDAY ALLY J, SHEREHE KUBWA KUFANYIKA NEW AFRICA HOTEL, WATU MAARUFU KUHUDHULIA.

NA KAIS MUSSA KAIS.


             Mkurugenzi wa five star's ally juma almaarufu ally j, leo ametimiza umri wa miaka kadhaa katika safari yake ya maisha hapa duniani.

ALLY J-MKURUGENZI WA FIVE STAR;S MODERN TAARAB.


              Akizungumza na mtandao huu ally j alisema kuwa katika kuadhimisha sherehe hii leo kutakuwa na party ya nguvu pale new africa hotel ambayo itaambatana na burudani mbalimbali toka kwa badhii ya wasanii waalikwa, huku bendi yake ya five star's wakiongoza sherehe hizo bab-kubwa!, alipoulizwa ni nani ambae amejitolea kumfanyia sherehe kubwa kiasi hicho alisema ni wadau na wapenzi wake pamoja na familia yake ndio wahusika wakuu wa party hii kwenye maandalizi.


        Ally J ni mpambanaji asiekubali kukata tamaa katika harakati zake na jambo hili limekuwa likiwashangaza wengi sana kwani amekuwa akiiongoza five star's katika wakati mgumu still wamekuwa wakisafiri mikoa tofauti tofauti na wasanii wake katika kutoa burudani ya nguvu, uongozi wa mtandao wa ubuyu wa taarab unatoa pongezi kwa ally j na mungu ampe maisha marefu zaidi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni