Wimbo mpya wa ramadhan kareem ulioimbwa na mkurugenzi wa coast modern taarab omary tego the special one tayari umeshafanyiwa shooting na hizi ni baadhi tu ya picha ambazo tulizipiga wakati omary tego yupo katikati ya tukio zima la kufanya video ya wimbo huo huko bagamoyo mkoani pwani.
OMARY TEGO AKIIMBA KWA HISIA KALI. |
OMARY TEGO AKIWA UFUKWENI MWA BAHARI YA HINDI HUKO BAGAMOYO. |
OMARY TEGO AKIWA KATIKA MOJA YA NYUMBA ZA KUMBUKUMBU HUKO B/MOYO. |
OMARY TEGO AKIIMBA WIMBO WA RAMADHANI KAREEM |
OMARY TEGO AKIIMBA KWA UNYENYEKEVU MKUBWA WIMBO WA RAMADHAN KAREEM. |
OMARY TEGO, HAPA AKIIMBA KWA KUONYESHA ISHARA. |
OMARY TEGO "THE SPECIAL ONE" AKING'AANI KWA HISIA. |
OMARY TEGO HAPA AKIWA MBELE YA MLANGO WA MSIKITI. |
OMARY TEGO AKIWA KATIKA MOJA YA JENGO LA WAKOLONI HUKO B/MOYO. |
OMARY TEGO AKIWA KATIKA MOJA YA HARAKATI ZAKE ZA WIMBO WA RAMADHAN. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni