NA KAIS MUSSA KAIS
Watu wana hamu kubwa kuisikia kazi mpya ya Abdul Misambano
ambayo inakwenda na jina la SIO MIE NI MOYO. wimbo huo ambao ataurekodi
kesho alhamisi, upo chini ya bendi ya G5 Modern Taarab na mkurugenzi
mkuu Hamisi Slim.
Akizungumza na UBUYU WA TAARAB, Misambano amewataka wapenzi na mashabiki wake wasubiri radha nzuri ambayo walikuwa wameikosa kwa muda mrefu kidogo. huyo ndio misambano tumsubiri na wimbo wake mpya!.....NI SHIIIIIIDAH!.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni