Bendi yako uipendayo ya Dar Modern Taarab, leo wameingia mkataba na kampuni ya On point solution ya jijini Dar!, Utiaji wa saini huo ulifanywa katika ukumbi wa habari maelezo mbele ya mkurugenzi wa kampuni hiyo Bahati Singh sambamba na mkurugenzi wa Dar Modern Taarab Mr Abdallah Feresh.
Katika makubaliano hayo walikuwepo waimbaji wa bendi hiyo na wageni waalikwa kadhaa!, Akizungumza katika makabidhiano hayo Mr Bahati Singh alisema kampuni yake ya On point solution imejiandaa kutowa udhamini katika sekta zote mpaka kuhakikisha Dar Modern inakuwa ni moja ya bendi kubwa na inayojulikana sana africa mashariki na kati.
Kuanzia sasa Dar modern wanakujua na style yao mpya kabisa chini ya udhamini huo wa On point solution, na watatambulika kama Dar Modern Taarab au "Wana Modenika". Zifuatazo ni picha kumi wakati wa makabidhiano hayo:-
STYLE MPYA NA UJIO WA AINA YAKE WA DAR MODERN TAARAB KWA SASA. |
MENEJA WA DAR MODERN MR BAKARI AKISISITIZA JAMBO MBELE YA WAANDISHI WA HABARI |
MKURUGENZI WA ON POINT SOLUTION BAHATI SINGH MWENYE KOTI JEUSI AKIWA NA VIONGOZI WA DAR MODERN. |
WAANDISHI WA HABARI WAKIFUATILIA KWA MAKINI MAKABIDHIANO HAYO. |
MKURUGENZI BAHATI SINGH KUSHOTO, MENEJA BAKARI SAMBAMBA NA MUIMBAJI MOSI SULEIMAN. |
MUIMBAJI HASSAN VOCHA NA MKURUGENZI BAHATI SINGH WAKIFUATILIA JAMBO KWA UMAKINI. |
MKURUGENZI WA DAR MODERN TAARAB ABDALLAH FERESH MWENYE KOFIA AKIWA NA MUIMBAJI SIKUDHANI ALLY WAKIWASIKILIZA MASWALI YA WAANDISHI. |
MENEJA BAKARI KUSHOTO, HASSAN VOCHA KATIKATI NA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA ON POINT SOLUTION BAHATI SINGH WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA. |
HASSAN VOCHA KATIKATI AKIFURAHIA UDHAMINI HUO WA ON POINT SOLUTION MBELE YA WAANDISHI. |
MENEJA WA DAR MODERN MR BAKARI AKIWA KWENYE POZI LA FURAHA. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni