NA KAIS MUSSA KAIS.
Bendi yako uipendayo ya Gusagusa, leo inatarajia kufanya show ya kukata na shoka katika ukumbi wa lango la jiji magomeni mikumi, hili ni onyesho maalum sababu baada ya hapo bendi hii haitoonekana tena ktk jukwaa la ukumbi huo ili kuupisha mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao upo karibu.
![]() |
BI AFUA SULEIMAN MUIMBAJI WA GUSAGUSA MIN BENDI. |
Akizungumza na mtandao huu mkurugenzi wa bendi hii Hassan Farouk amesema kuwa leo kutakuwa na surprise nyingi sana maalum kwa wapenzi wa bendi hii, nawaomba wadau wetu wafike kwa wingi sana ili wapate kile kitu kizuri tulichokiandaa kwa ajili yao
![]() |
ASHURA MLAMALI MUIMBAJI WA GUSAGUSA MIN BENDI. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni