TANGAZA NASI

Breaking

Jumamosi, 18 Julai 2015

UONGOZI WA "SKILLMAN MEDIA" UNAWATAKIA EID MUBARAKA WASOMAJI WOTE WA ubuyuwataarabutz.blogspot.com

NA DAWATI LA HABARI.

            Uongozi mzima wa kampuni ya skillman media ambayo inamiliki vyombo vya ubuyuwataarabutz.blogspot.com, Group la ubuyu wa taarab na kashda na raha za pwani, Page za Taarab viwanjani na Page ya ubuyu wa taarab kwa pamoja tunawatakia wasomaji wetu wote sikukuu njema ya Eid mubaraka.


        Hii ni siku adhimu kwa waislam wote hapa nchini na duniani kwa ujumla hivyo basi yatupasa kwa pamoja kufanya yalo mema katika kuusindikiza mwezi mtukufu uliomalizika hivi karibuni.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni