TANGAZA NASI

Breaking

Jumatatu, 3 Agosti 2015

TAZAMA PICHA "24" ZA MATUKIO YA UZINDUZI WA WAKALIWAO MODERN TARADANCE NDANI YA DAR LIVE!.

NA KAIS MUSSA KAIS.

ASYA MARIAM AKIWA KATIKA VAZI LA MWALI WA KIZARAMO!.


THANIA MSOMALI AKIMFUNDA MWALI WAKE ASYA MARIAM.

DIDA MC WA SHUGHULI AKIFANYA YAKE STEJINI.

THABIT ABDUL AKIELEZA JAMBO KWA MASHABIKI.

MASHABIKI WAKIKICHEZA KIGOMA CHA KIZARAMO!.

THABIT ABDUL AKISEREBUKA NA WACHEZA KIDUKU WAKE!.

MGENI WA HESHIMA MZEE MAJUTO AKITOA HISTORIA YA THABIT ABDUL.
DOGO JACK SIMELA AKIWA PAGAWISHA MASHABIKI.

MWINYI MKUU NA EXELLENT BENDI WAKIFANYA YAO STEJINI.


WACHEZAJI WA WAKALIWAO WAKIFANYA YAO STEJI.

ASYA MARIAM AKICHEZA SAMBAMBA NA WACHEZAJI WAKE WA SHOW STEJINI.

MASHABIKI WAKIMWANGALIA ASYA MARIAM AKIINGIA STEJINI.

PRINCE AMIGO WA JAHAZI AKIFANYA YAKE STEJI.

ASYA MARIAM AKISEREBUKA STEJINI.

MALKIA KHADIJA OMARY KOPA AKIFANYA VITU VYAKE!.

KAIS MUSSA KAIS MMILIKI WA BLOG HII AKIMUINGIZA STEJINI ASYA MARIAM

THABIT ABDUL MKOMBOZI AKIINGIA STEJI.
FARIDA KINDAMBA WA WAKALIWAO AKICHEZA STEJI.

DOGO JACK SIMELA AKIIMBA STEJI.
ASYA MARIAM AKIWA AMEBEBWA JUU JUU NA KAIS MUSSA KAIS.
WACHEZA SHOW WAKIPOZI KWA PICHA.
THABIT ABDUL AKIWAONGOZA WACHEZA SHOW WAKE STEJINI.
DOGO JACK SIMELA KIIMBA SAMBAMBA NA MASHABIKI WAKE.
SALHA WA HAMMER MUIMBAJI MPYA WA WAKALIWAO NAE ALITAMBULISHWA SIKU HIYO.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni