NA DAWATI LA HABARI.
Jumatano, 23 Septemba 2015
EID MUBARAK FANS WOTE WA ubuyuwataarabutz.blogspot.com BLOG BORA YA TAARAB NCHINI.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hii ni sikukuu muhimu sana kwa waumini wa kiislam na kwa kulitambua hilo uongozi umeonelea ni vyema kutoa salamu za heri kabisa na kuwatakia ziada na fanaka katika siku hii muhimu kwao. Siku ya leo waumini wa kiislam kote nchini sambamba na duniani kwa ujumla wanasherehekea sikukuu hii ya ied-el-hajj.Tunapenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza na pia kuwaasa washerehekee kwa amani na utulivu kama ambavyo wamekuwa wakifanya kila mwaka.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni