TANGAZA NASI

Breaking

Jumanne, 22 Desemba 2015

SHANGWE ZA X-MASS NA G5 MODERN TAARAB...RATIBA KAMILI NI HII HAPA!.

NA KAIS MUSSA KAIS.


                Bendi ya G5 modern taarab yenye maskani yake mtoni kwa azizi ally leo imetangaza ratiba ya show zake katika kuelekea sikukuu ya christmas na mwaka mpya!.


            Mkurugenzi wa bendi hiyo Hamisi slim aliitangaza ratiba hiyo kama ifuatavyo. siku ya mkesha wa chrismas G5 watashusha burudanu yao katika ukumbi wa kivule garden maeneo ya kivule, siku ya tarehe 25/12/2015 watakuwa katika ukumbi wao wa nyumbani Equator grilly maeneo mtoni kwa azizi ally, siku ya tarehe ya tarehe 26/12/2015 "boxing day" G5 watakuwa katika ukumbi wa center grill zamani flamingo. siku ya tarehe 27/12/2015, bendi yako itakuwa katika ukumbi wa Equator grillly.


          Show zote zitaanza saa mbili usiku, wadau na mashabiki mnaombwa kufika kwa wingi unatakiwa kuwahi ili kuwapa burudani sana mashabiki ni kufanya na wao wawakubali.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni