TANGAZA NASI

Breaking

Jumanne, 22 Desemba 2015

GROUP JIPYA LA WHATSAP KWA WATANGAZAJI WA VIPINDI VYA TAARAB REDIO NA TELEVISHENI LAANZISHWA!.

NA MWANDISHI WAKO.


               Mkurugenzi na mmiliki wa mtandao huu wa ubuyuwataarabutz.blogspot.com kais mussa kais ameamua kuanzisha group la whatsap la watangazaji wa vipindi vya taarab redioni na runingani.


            Akizungumza na mtandao huu kais alisema kuwa nia haswa ya kuanzisha group hili kwanza kabisa ni kuwaleta karibu watangazaji wafahamiane, wabadilishane mawazo na pia kupeana ma-info bab-kubwa kuhusu taarab.na wasanii wake!. Taarab ina mapungufu mengi sana kwahiyo kupitia group hili tutakuwa tunakumbushana nini cha kufanya


         Habari za blog zitakuwa zinazungumzwa kwa kina hapa hapa, nyimbo mpya za audio na za video pia zitakuwepo humu kwa group, mpaka sasa group lipo hewani kwa mtangazaji yeyote anaetaka aunganishwe humu ni vyema akanitumia namba yake kupitia line yangu hii 0657-036328 karibuni sana!.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni