TANGAZA NASI

Breaking

Jumamosi, 30 Januari 2016

KATIBU WA GUSAGUSA MIN BENDI FONI CHUPA AFUNGA NDOA NA NADYA MOHAMEDY HUKO DODOMA.

NA KAIS MUSSA KAIS.



                  Katibu wa gusagusa min bend Foni chupa amefunga ndoa na mrembo Nadya mohamedy huko mkoani dodoma wiki iliyopita.

           Akizungumza na mtandao huu ripota wetu kutoka mkoani dodoma alisema kuwa ndoa hiyo ilifana sana na bendi ya gusagusa original kutokea dar ilitumbuiza na kukata kiu ya wakazi wa dodoma waliohudhulia sherehe ya ndoa hiyo. kiukweli hii ni bonge ya shughuli sijapata kuona! ipo pambe sana alisikika mama mmoja akizungumza.

            Baada ya sherehe ya ndoa hiyo kufanyika dodoma lakini pia sherehe ingine ikafanyika hapa dar na kuhudhuliwa na wadau, washabiki na wapenzi wa gusagusa min bendi, mtandao huu unapenda kumpongeza katibu huyo Foni chupa kwa kuuwaga ukapera na kuingia katika maisha ya ndoa, mungu aibariki kizazi chema ndoa hiyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni