TANGAZA NASI

Breaking

Ijumaa, 25 Machi 2016

KHADIJA OMARY KOPA ATOA LA ROHONI JUU YA TATIZO LAKE NA YOUNG HASSAN ALLY!.

NA KAIS MUUSA KAIS.


KHADIJA OMARY KOPA.

            Malkia wa mipasho afrika mashariki na kati bibie khadija omary kopa leo amezungumza na mtandao wa ubuyuwataarabutz.blogspot.com juu ya tatizo lake na young hassan ally.


      Akizungumza na mwandishi wa habari hizi nyumbani kwake magomeni jijini dar khadija kopa alisema kwamba young hassan ally ni mtu mwenye vijembe stejini, hana adabu wala nidhamu kwa viongozi mpaka wasanii wenzie, kwa mengi zaidi sikiliza mahojiano hayo chini ya habari hii ujue ni jambo gani mama yetu amezungumzia.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni