TANGAZA NASI

Breaking

Ijumaa, 25 Machi 2016

MZEE YUSUPH KUWEKWA KIKAANGONI JUMATATU, NA WATANGAZAJI ZAIDI YA TISINI KATIKA GROUP LA WHATSAP!.

NA KAIS MUSSA KAIS.


          Mkurugenzi wa bendi ya jahazi modern taarab mfalme mzee yusuph jumatatu hii ya tarehe 28/3/2016 ameteuliwa kuingizwa katika group la watangazaji ambalo limekusanya takribani tisini wa jinsia tofauti.


    Nia ya kumuingiza huko mzee yusuph ni kujibu maswali ya watangazaji ambayo yamekuwa yakiwatatiza sana, huu ni utaratibu ambao tumejiwekea kila jumatatu. mtandao huu unawaomba watangazaji wote waanze kuandaa maswali ya nguvu kwa ajili ya mfalme.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni