TANGAZA NASI

Breaking

Jumapili, 27 Machi 2016

UONGOZI WA UBUYU WA TAARAB UNAWATAKIA PASAKA NJEMA WASOMAJI WAKE WOTE!.

NA KAIS MUSSA KAIS.


        Uongozi mzima wa mtandao huu bora wa ubuyu wa taarab unawatakia sikukuu njema ya pasaka wasomaji wake wote popote pale walipo duniani.


        Jambo kubwa tunawaomba msherehekee kwa amani na upendo kwani hii ni sikukuu yenye historia kubwa sana kwa wakristo wote duniani, itapendeza sana kama tutakwenda makanisani kwa wingi na kumuomba mungu wetu atujaalie amani kwani baadhi ya nchi hapa duniani zimekuwa zikiathiriwa kwa vita na kusababisha vifo vya akina mama na watoto.


     Sisi dawati zima la ubuyu wa taarab tunaungana na wakristo wote duniani katika kusherehekea kwa amani sikukuu hii. Happy easter for all views!.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni