Na pambe za taarab.
Pambe za taarab ni mtandao ambao unaendesha vyanzo vingi ikiwemo website, blog, youtube channel, instagram, google, page na account mbalimbali katika mitandao ya kimataifa.
Group la whatsap la pambe za taarab limeendelea kuboreshwa zaidi kwa kuongezwa segment ya "Povu la dokta kumbuka" ambayo hii itakuwa ni kila siku ya jumatano kuanzia saa moja kamili usiku mpaka mbili kamili usiku. Hapa dokta kumbuka atakuwa anaelimisha jamii kwa kuzungumza mambo kadhaa wa kadhaa yahusuyo jamii na kujadiliana na wanachama waliopo humo kwa kina zaidi ili kuhakikisha dhamira ya kilichozungumzwa kinaleta matunda.
Ikumbukwe mpaka sasa group hili la whatsap lina segment zupatazo tatu ambazo ni mjue mtangazaji wako, sindano za motto na hii mpya ya povu la dokta kumbuka. Lengo ni kuleta msisimko na ufahamu toka kwa wanachama wa group hili la whatsap.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni