TANGAZA NASI

Breaking

Jumatano, 20 Desemba 2017

RATIBA YA SHOW ZA JAHAZI MODERN TAARAB KUELEKEA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA!.

Na pambe za taarab.

Katika kuelekea kuuaga mwaka huu 2017 na kuukaribisha mwaka mpya 2018 bendi mbalimbali zimekuwa zikijiandaa kufanya show kwenye kumbi mbalimbali, bendi yako ya jahazi modern taarab nayo ni miongoni mwa bendi hizo na ifuatayo ni ratiba yao.

Siku ya tarehe 24 watakuwa pale maeneo ya airport na siku ya tarehe 25 sikukuu ya Christmas watakuwa maeneo ya dar live mbagala na siku ya mkesha wa mwaka mpya yaani tarehe 31 jahazi modern taarab watakuwa maeneo ya chanika sambamba na wakazi wa huko wakiukaribisha mwaka mpya wa 2018.

Bendi zingine ratiba zenu zipo vipi karibuni hapa ktk uwanja wetu wa kujidai wa pambe za taarab utoe ratiba yako ili mashabiki wapate kujua wapi wawafuate kwa burudani zaidi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni