TANGAZA NASI

Breaking

Jumanne, 29 Machi 2016

TAZAMA PICHA "12" ZA ALJAZEERA MODERN TAARAB WAKIWA MAZOEZINI KUTENGENEZA NYIMBO MPYA!.

NA KAIS MUSSA KAIS.


         Vijana wa bendi ya aljazeera modern taarab wapo katika mazoezi ya nguvu kuandaa albam yao mpya ambayo mpaka sasa tayari nyimbo mbili mpya zimesharekodiwa na zinachezwa redioni ambazo ni "siumizi roho yangu" ulioimbwa na Fatma milulu pamoja na "akufaae kwa dhiki" ambao umeimbwa nae Ummi khamisi, zifuatazo ni picha ambazo mwandishi wetu alifanikiwa kuwapiga pindi alipo tembelea mazoezini kwao kariakoo jijini dar es salaam. 



MWIMBAJI WA ALJAZEERA PILI RAMADHAN AKIFANYA YAKE MAZOEZINI.

WAIMBAJI WA ALJAZEERA WAKIWA MAZOEZINI.
HAMISI CHIZI AKIPAPASA KINANDA.

DIRECTOR WA ALJAZEERA ABUBAKAR MGENI AKIPIGA GITA LA BESI.

MUIMBAJI UMMI KHAMISI AKIIMBA KWA KUJIAMINI.

PILI RAMADHANI AKIIMBA MAZOEZINI.


UMMI KHAMISI KWA RAHA ZAKE NDANI YA ALJAZEERA,

FATMA MILULU NAE AKIKAMUA MAZOEZINI ALJAZEERA MODERN TAARAB.


HAMISI CHIZI AKIWA MAKINI KABISA MAZOEZINI.


UMMI KHAMISI AKIENDELEA KUJIFUA NDANI YA ALJAZEERA MODERN TAARAB

PILI RAMADHANI AKIUTENDEA HAKI WIMBO WAKE MPYA MAZOEZINI.

FATMA MILULU AKIIMBA KWA HISIA KALI SANA WIMBO MPYA.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni