TANGAZA NASI

Breaking

Ijumaa, 6 Mei 2016

JAHAZI MODERN TAARAB IJUMAA YA LEO NDANI YA CHECK POINT CHANIKA...UNAKOSAJE KWA MFANO!.

NA KAIS MUSSA KAIS.


             Bendi yako uipendayo ya jahazi modern taarab inatarajia kushusha burudani ya nguvu ndani ya ukumbi wa check point chanika kuanzia saa mbili usiku wa ijumaa ya leo hadi majogoo.


         Wakazi wa chanika, kisarawe na maeneo ya jirani watanufaika kwa raha zisizoisha hamu toka kwa vijana hawa, pia kwa mara ya kwanza watawashuhudia wasanii wapya aisha othman vuvuzela na zubeda mlamali ambao wamejiunga hivi karibuni katika jukwaa la bendi hiyo.


       wapenzi na wadau wa taarab wa maeneo hayo mnaombwa kujitokeza kwa wingi ili kunufaika na burudani toka kwao.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni