TANGAZA NASI

Breaking

Ijumaa, 6 Mei 2016

TAZAMA PICHA "17" JINSI BIRTHDAY YA J.J. MZEE WA MBEZI KATIBU WA T.O.T. TAARAB ILIVYOFANA YOMBO KWA JIMMY!.

NA KAIS MUSSA KAIS.


          Jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa katibu wa bendi ya T.O.T juma jerry ama j.j. mzee wa mbezi kama ambavyo imezoeleka kuitwa na mashabiki wake, na vijana wa tot walikuwa steji wakitumbuiza


      Ilipofika muda muafaka walipiga wimbo wa happy birthday maalum kwa ajili yake Juma jerry "bosi wao" ambae alikuwa anatimiza umri wa miaka "53"zifuatazo ni baadhi ya picha za J.J. akipongezwa na wasanii wake sambamba na wadau mbalimbali waliojitokeza:-

HAPA J.J. AKIKATA KEKI MAALUM ALIYOANDALIWA NA WASANII WAKE.

CHUPA MAALUM YA SHAMPENI AMBAYO ILIFUNGULIWA KWA AJILI YA J.J.
BAADHI YA WASANII WA T.O.T. WAKIPIGA PICHA YA PAMOJA NA J.J.

ILIKUWA NI FURAHA KWA J.J. NA WASANII WAKE WOTE.


KEKI ILIYOANDALIWA KWA AJILI YA J.J.

J.J. AKIWA MWENYE FURAHA NA WASANII WAKE.

J.J. AKIPEWA ZAWADI NA WASANII WAKE HAPO HAPO UKUMBINI.

HAPA WASANII PAMOJA NA J.J. WAKIPIGA PICHA YA PAMOJA.

HAPA J.J. AKIKATA KEKI KWA MSAADA WA MSANII WAKE.

HAPA J.J. AKIJIANDAA KUIPOKEA SHAMPENI KUTOKA KWA MSANII WAKE.

BAADHI YA WAPENZI AMBAO WALIJITOKEZA KATIKA SHEREHE HIYO YA J.J.

J.J. AKIMLISHA KEKI MSHABIKI

J.J. AKIPOZI KWA PICHA NA MASHABIKI WAKE.

J.J. HAPA AKIJIANDAA KUMLISHA KEKI MDAU AMBAE HAYUPO PICHANI.

AGNESS BENJAMIN AKIKATA KEKI MAALUM KWA KULISHWA WADAU.


HAPA J.J. AKICHEZA MUZIKI NA WASANII WAKE.

J.J. AKISEREBUKA KWA FURAHA KABISA.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni