TANGAZA NASI

Breaking

Jumanne, 11 Julai 2017

GROUP LA PAMBE ZA TAARAB WHATSAP LAANZISHWA.

Na pambe za taarab.

       Mtandao wa pambe za taarab umeanzisha group chat whatsap maalum kwa wadau wapenzi na mashabiki wa muziki huu wa taarab africa mashariki.

    Ikumbukwe hapo kabla mtandao huu ulikuwa umefungua group la whatsap maalum kwa ajili ya watangazaji wa taarab runingani na redioni, lakini ili kuweka usawa ikaonekana ipo haja ya kuwaleta karibu mashabiki ili tuweze kubadilishana mawazo kwa pamoja.

   Group hilo litakuwa na sheria na kanuni zake na yule atakae kiuka basi uongozi hautosita kumuondoa kabisa. Kikubwa ushirikiano kwa viongozi wa mtandao huu na wadau unahitajika sana zaidi ya sana, kwa atakae kuwa tayari kujiunga basi anaweza kututumia namba yake kupitia namba hii 0676-912662 nasi tutamuunganisha.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni