TANGAZA NASI

Breaking

Jumatano, 12 Julai 2017

YEYOTE ATAKAETUMIA HABARI ZA MTANDAO HUU NI LAZIMA AITAJE PAMBE ZA TAARAB.

Na pambe za taarab.

      Mtandao wa pambe za taarab kupitia mkurugenzi mkuu kais mussa kais leo hii umetoa taarifa maalum kwa vyombo vingine vingine vinavyotumia habari zake kuwa ni lazima waitaje pambe za taarab kuwa ndio chanzo cha habari hizo wanazoziripoti.

      Mkurugenzi huyo ameamua kuweka wazi jambo hilo baada ya kushuhudia account, page na group's mbalimbali facebook wakiripoti na kunukuu habari za pambe za taarab pasipo kubainisha wapi wamezitoa. Vile vile kuna vituo vya redio na magazeti mbalimbali hapa nchini wanachukuwa habari humu, haina tatizo wanaweza kutumia habari zetu lakini sharti kubwa tunaomba waitamke pambe za taarab kama ndio muhusika mkuu wa habari hizo.

    Pambe za taarab ni mtandao bora wa taarab ambao umekuwa ukifanya vyema kwa sasa afrika mashariki na kati.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni