TANGAZA NASI

Breaking

Jumapili, 24 Desemba 2017

TUNAWATAKIA SIKUKUU NJEMA YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA WASOMAJI WETU WOTE

Na pambe za taarab.

Leo tarehe 25/12/2017 wakristo duniani kote wanasherehekea kuzaliwa kwa bwana yesu kristo ndani ya sikukuu hii maarufu ya Christmas.

Vile vile siku chache zijazo watu wote duniani kwa pamoja tutasherehekea sikukuu ya mwaka mpya toka 2017 kwenda 2018 ni masaa machache yamebakia kumaliza mwaka huu wa 2017.

Mtandao wa pambe za taarab unawapongeza wasomaji wake na kuwatakia sikukuu njema na washerehekee kwa uhuru na amani iliyotukuka...Happy Christmas day and happy new year!.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni